Andamo (Swahili Edition)
Author | : | |
Rating | : | 4.73 (768 Votes) |
Asin | : | B01G3281IQ |
Format Type | : | paperback |
Number of Pages | : | 96 Pages |
Publish Date | : | 2014-02-03 |
Language | : | Swahili |
DESCRIPTION:
Mitindo aliyotumia ni mingi na mizuri ambayo inatafautiana na wakati wengine kushabihiana.Kwenye lugha, ametumia lugha ya ushairi – nyoofu, nzuri na telezi Maudhui, bila shaka, ameyatumia vizuri kuweza kuelimisha jamii akijikita kwenye masuala ya utamaduni, siasa na uchumi, ingawa utamaduni umekuwa sura kubwa zaidiKwa kawaida, washairi wa Afrika huzikita dhamira zao katika migogoro ya kimapenzi, kindoa, kidini, kikazi, kinyonyaji, kidemokrasia, uongozi mbaya, umangimeza, njaa, umasikini na maradhi, naye kwa ujumla amefanikiwa sana katika hilo.“ Kwa hivyo, ndani ya Andamo, sio tu muna mwangwi wa sauti ya kijana anayejaribu kuiwasilisha hadithi yake kwa hadhira kwa njia ya kishairi, lakini pia ishara ya kuibuka kwa kipaji cha aina yake kwenye uwanja wa fasihi ya Kiswahili.. Aliyekuwa Katibu wa Kamati ya Fasihi na Utamaduni ya Baraza la Kiswahili la Zanzibar (BAKIZA), Bwana Abbas Mdungi, wakati akikabidhi ripoti ya mswaada wa diwani hii mwezi Oktoba 2003, aliandika hivi: “.Mshairi ameibuni kazi yake kwa ustadi mkubwa kama kwamba ni mweledi katika utunzi ilhali hii ndiyo kazi yake ya kwanza kabisa. MUHTASARI WA KITABU: Andamo ni diwan
Kabla ya hapo alisomea shahada ya kwanza ya Mawasiliano ya Umma katika Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es Salaam mwaka 2009, na pia diploma ya ualimu wa lugha kutoka iliyokuwa Taasisi ya Kiswahili na Lugha za Kigeni Zanzibar mwaka 2001. Amekuwa akiandika tungo za ushairi na hadithi fupi fupi kwa zaidi ya miaka ishirini sasa, ambapo miongoni mwa kazi zake zilizokwishachapishwa zinapatikana kwenye mikusanyiko ya Damu Nyeusi (MacMillan Kenya, 2007), Masikini Milionea (Oxford University Press Nairobi, 2012), Diwani ya Waja Leo (Oxford University Press 2012) na Homa ya Nyumbani (Phoenix Publishers Nairobi 2016). Kwa sasa ni mtangazaji na mhariri wa Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle nchini Ujerumani. Ana shahada ya uzamili katika Taaluma za Tafsiri kutoka Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ali
"Five Stars" according to Mohammed Khelef Mohammed. It's a well written piece of Swahili poetry.
Mwaka 2015, alitunukiwa Tunzo ya Fasihi ya Kiswahili ya Mabati-Cornell kutokana na mswaada wake wa ushairi, N’na Kwetu. Kabla ya hapo alisomea shahada ya kwanza ya Mawasiliano ya Umma katika Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es Salaam mwaka 2009, na pia diploma ya ualimu wa lugha kutoka iliyokuwa Taasisi ya Kiswahili na Lugha za Kigeni Zanzibar mwaka 2001. MSHAIRI: Mohammed Khelef Ghassani alizaliwa kisiwa